Yohana 4:17 - Swahili Revised Union Version17 Yule mwanamke akajibu, akasema, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Huyo mwanamke akamwambia, “Mimi sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli, kwamba huna mume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Huyo mwanamke akamwambia, “Mimi sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli, kwamba huna mume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Huyo mwanamke akamwambia, “Mimi sina mume.” Yesu akamwambia, “Umesema kweli, kwamba huna mume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Isa akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Yule mwanamke akajibu, “Sina mume.” Isa akamwambia, “Umesema kweli kuwa huna mume. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI17 Yule mwanamke akajibu, akasema, Sina mume. Yesu akamwambia, Umesema vema, Sina mume; Tazama sura |