Yohana 3:7 - Swahili Revised Union Version7 Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Usistaajabu kwamba nimekuambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Usistaajabu kwamba nimekuambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Usistaajabu kwamba nimekuambia kuwa ni lazima kuzaliwa upya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kwa hiyo usishangae ninapokuambia, ‘Huna budi kuzaliwa mara ya pili.’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kwa hiyo usishangae ninapokuambia huna budi ‘kuzaliwa mara ya pili.’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Usistaajabu kwa kuwa nilikuambia, Hamna budi kuzaliwa mara ya pili. Tazama sura |