Yohana 3:6 - Swahili Revised Union Version6 Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa Roho. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa Roho. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mtu huzaliwa kimwili kwa baba na mama, lakini huzaliwa kiroho kwa Roho. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Mwili huzaa mwili, lakini Roho huzaa roho. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Mwili huzaa mwili, lakini Roho huzaa roho. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Kilichozaliwa kwa mwili ni mwili; na kilichozaliwa kwa Roho ni roho. Tazama sura |