Yohana 3:34 - Swahili Revised Union Version34 Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu huyanena maneno ya Mungu; kwa sababu hamtoi Roho kwa kipimo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Yule aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, maana Mungu humjalia mtu huyo Roho wake bila kipimo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Yule aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, maana Mungu humjalia mtu huyo Roho wake bila kipimo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Yule aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, maana Mungu humjalia mtu huyo Roho wake bila kipimo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Yeye aliyetumwa na Mungu husema maneno ya Mungu, kwa kuwa Mungu humpa Roho wake pasipo kipimo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Yeye aliyetumwa na Mwenyezi Mungu husema maneno ya Mungu, kwa kuwa Mungu humtoa Roho pasipo kipimo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI34 Kwa kuwa yeye aliyetumwa na Mungu huyanena maneno ya Mungu; kwa sababu hamtoi Roho kwa kipimo. Tazama sura |