Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yohana 2:8 - Swahili Revised Union Version

8 Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa sherehe. Wakapeleka.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni mkampelekee mkuu wa karamu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo; mpelekeeni mkuu wa sherehe.” Hivyo wakachota, wakampelekea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Kisha akawaambia, “Sasa choteni hayo maji kidogo, mpelekeeni mkuu wa meza.” Hivyo wakachota, wakampelekea.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa sherehe. Wakapeleka.

Tazama sura Nakili




Yohana 2:8
5 Marejeleo ya Msalaba  

Mapenzi yao na chuki yao, na husuda yao, imepotea yote pamoja; wala hawana sehemu tena katika jambo lolote lililofanyika chini ya jua.


Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza mpaka juu.


Naye mkuu wa sherehe alipoyaonja yale maji yaliyopata kuwa divai, (wala asijue ilikotoka, lakini watumishi walijua, wale walioyateka yale maji), yule mkuu wa sherehe alimwita bwana arusi,


Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo