Yohana 2:7 - Swahili Revised Union Version7 Yesu akawaambia, Jalizeni mabalasi maji. Nao wakayajaliza mpaka juu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Yesu akawaambia, “Ijazeni mitungi hiyo maji.” Nao wakaijaza mpaka juu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi hadi juu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Isa akawaambia wale watumishi, “Ijazeni hiyo mitungi maji.” Nao wakaijaza ile mitungi mpaka juu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Yesu akawaambia, Jazeni mabalasi maji. Nao wakayajaza mpaka juu. Tazama sura |