Yohana 15:9 - Swahili Revised Union Version9 Kama vile Baba alivyonipenda mimi, nami nilivyowapenda ninyi, kaeni katika pendo langu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mimi nimewapenda nyinyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni katika pendo langu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mimi nimewapenda nyinyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni katika pendo langu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mimi nimewapenda nyinyi kama vile Baba alivyonipenda mimi. Kaeni katika pendo langu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 “Kama vile Baba alivyonipenda mimi, hivyo ndivyo mimi nilivyowapenda ninyi. Basi kaeni katika pendo langu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 “Kama vile Baba alivyonipenda mimi, hivyo ndivyo mimi nilivyowapenda ninyi. Basi kaeni katika pendo langu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Kama vile Baba alivyonipenda mimi, nami nilivyowapenda ninyi, kaeni katika pendo langu. Tazama sura |