Yohana 15:8 - Swahili Revised Union Version8 Hivyo hutukuzwa Baba yangu, kwa vile mzaavyo sana; nanyi mtakuwa wanafunzi wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Baba yangu hutukuzwa kama mkizaa matunda mengi na kuwa wanafunzi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Baba yangu hutukuzwa kama mkizaa matunda mengi na kuwa wanafunzi wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Baba yangu hutukuzwa kama mkizaa matunda mengi na kuwa wanafunzi wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Kwa hiyo Baba yangu hutukuzwa kwa vile mnavyozaa matunda mengi, nanyi mtajidhihirisha kuwa wanafunzi wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Kwa hiyo Baba yangu hutukuzwa, kwa vile mzaavyo matunda mengi, nanyi mtakuwa wanafunzi wangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Hivyo hutukuzwa Baba yangu, kwa vile mzaavyo sana; nanyi mtakuwa wanafunzi wangu. Tazama sura |