Yohana 13:6 - Swahili Revised Union Version6 Akamfikia Simoni Petro. Huyo akamwambia, Bwana! Wewe waniosha miguu mimi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, akamfikia Simoni Petro; naye Petro akasema, “Bwana, wewe utaniosha miguu mimi?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, akamfikia Simoni Petro; naye Petro akasema, “Bwana, wewe utaniosha miguu mimi?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, akamfikia Simoni Petro; naye Petro akasema, “Bwana, wewe utaniosha miguu mimi?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Alipomfikia Simoni Petro, Petro akamwambia, “Bwana, je, wewe utaninawisha mimi miguu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Alipomfikia Simoni Petro, Petro akamwambia, “Bwana, je, wewe utaninawisha mimi miguu?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Akamfikia Simoni Petro. Huyo akamwambia, Bwana! Wewe waniosha miguu mimi? Tazama sura |