Yohana 12:5 - Swahili Revised Union Version5 Mbona marhamu hii haikuuzwa kwa dinari mia tatu, wakapewa maskini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 “Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari 300, wakapewa maskini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 “Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari 300, wakapewa maskini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 “Kwa nini marashi hayo hayakuuzwa kwa fedha dinari 300, wakapewa maskini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari mia tatu, na fedha hizo wakapewa maskini?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Kwa nini manukato haya hayakuuzwa kwa dinari 300 na fedha hizo wakapewa maskini?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mbona marhamu hii haikuuzwa kwa dinari mia tatu, wakapewa maskini? Tazama sura |