Yohana 12:38 - Swahili Revised Union Version38 ili litimie lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, ni nani aliyezisadiki habari zetu; Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema38 Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND38 Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza38 Hivyo maneno aliyosema nabii Isaya yakatimia: “Bwana, nani aliyeuamini ujumbe wetu? Na uwezo wa Bwana umedhihirishwa kwa nani?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu38 Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: “Mwenyezi Mungu, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Mwenyezi Mungu umefunuliwa kwa nani?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu38 Hili lilikuwa ili kutimiza lile neno la nabii Isaya lililosema: “Bwana Mwenyezi Mungu, ni nani aliyeamini ujumbe wetu, na mkono wa Bwana Mwenyezi umefunuliwa kwa nani?” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI38 ili litimie lile neno la nabii Isaya alilolisema, Bwana, ni nani aliyezisadiki habari zetu; Na mkono wa Bwana amefunuliwa nani? Tazama sura |