Yohana 10:5 - Swahili Revised Union Version5 Mgeni hawatamfuata kabisa, bali watamkimbia; kwa maana hawazijui sauti za wageni. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kondoo hao hawawezi kumfuata mgeni, bali watamkimbia kwa sababu hawaijui sauti yake.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kondoo hao hawawezi kumfuata mgeni, bali watamkimbia kwa sababu hawaijui sauti yake.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kondoo hao hawawezi kumfuata mgeni, bali watamkimbia kwa sababu hawaijui sauti yake.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Lakini kondoo hawatamfuata mgeni, bali watamkimbia kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Lakini kondoo hawatamfuata mgeni bali watamkimbia, kwa sababu hawaijui sauti ya mgeni.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mgeni hawatamfuata kabisa, bali watamkimbia; kwa maana hawazijui sauti za wageni. Tazama sura |