Yohana 10:35 - Swahili Revised Union Version35 Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka); Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Mungu aliwaita miungu wale waliopewa ujumbe wake; nasi twajua kwamba Maandiko Matakatifu yasema ukweli daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Mungu aliwaita miungu wale waliopewa ujumbe wake; nasi twajua kwamba Maandiko Matakatifu yasema ukweli daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Mungu aliwaita miungu wale waliopewa ujumbe wake; nasi twajua kwamba Maandiko Matakatifu yasema ukweli daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Kama aliwaita ‘miungu’ wale ambao neno la Mungu liliwafikia, nayo Maandiko hayawezi kutanguka, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Kama aliwaita ‘miungu,’ wale ambao neno la Mungu liliwafikia, nayo Maandiko hayawezi kutanguka, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Ikiwa aliwaita miungu wale waliojiwa na neno la Mungu; (na maandiko hayawezi kutanguka); Tazama sura |