Yohana 1:26 - Swahili Revised Union Version26 Yohana akawajibu akisema, Mimi nabatiza kwa maji. Katikati yenu amesimama yeye msiyemjua ninyi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Yohane akawajibu, “Mimi nabatiza kwa maji, lakini yuko mmoja kati yenu, msiyemjua bado. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Yohane akawajibu, “Mimi nabatiza kwa maji, lakini yuko mmoja kati yenu, msiyemjua bado. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Yohane akawajibu, “Mimi nabatiza kwa maji, lakini yuko mmoja kati yenu, msiyemjua bado. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Yahya akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji, lakini kati yenu yupo mtu msiyemjua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Yahya akawajibu, “Mimi ninabatiza kwa maji, lakini katikati yenu yupo mtu msiyemjua. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Yohana akawajibu akisema, Mimi nabatiza kwa maji. Katikati yenu amesimama yeye msiyemjua ninyi. Tazama sura |