Yoeli 3:20 - Swahili Revised Union Version20 Bali Yuda atadumu milele, na Yerusalemu tangu kizazi hata kizazi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Bali Yuda itakaliwa milele, na Yerusalemu kizazi hata kizazi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Bali Yuda itakaliwa milele, na Yerusalemu kizazi hata kizazi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Bali Yuda itakaliwa milele, na Yerusalemu kizazi hata kizazi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Yuda itakaliwa na watu milele na Yerusalemu itadumu vizazi vyote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Yuda itakaliwa na watu milele na Yerusalemu itadumu vizazi vyote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Bali Yuda atadumu milele, na Yerusalemu tangu kizazi hata kizazi. Tazama sura |