Yoeli 3:11 - Swahili Revised Union Version11 Fanyeni haraka, mje, enyi mataifa yote, wa pande zote, jikusanyeni pamoja; na huko wateremshe mashujaa wako wote, Ee BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Njoni haraka, enyi mataifa yote jirani, kusanyikeni huko bondeni.” Ee Mwenyezi-Mungu! Teremsha askari wako dhidi yao! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Njoni haraka, enyi mataifa yote jirani, kusanyikeni huko bondeni.” Ee Mwenyezi-Mungu! Teremsha askari wako dhidi yao! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Njoni haraka, enyi mataifa yote jirani, kusanyikeni huko bondeni.” Ee Mwenyezi-Mungu! Teremsha askari wako dhidi yao! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote, kusanyikeni huko. Shusha mashujaa wako, Ee Mwenyezi Mungu! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote, kusanyikeni huko. Shusha wapiganaji wako, Ee bwana! Tazama suraBIBLIA KISWAHILI11 Fanyeni haraka, mje, enyi mataifa yote, wa pande zote, jikusanyeni pamoja; na huko wateremshe mashujaa wako wote, Ee BWANA. Tazama sura |