Yoeli 1:9 - Swahili Revised Union Version9 Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimekatiliwa mbali na nyumba ya BWANA; Hao makuhani, wahudumu wa BWANA, wanaomboleza. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Sadaka za nafaka na kinywaji zimetoweka nyumbani kwa Mwenyezi-Mungu. Makuhani, wahudumu wa Mwenyezi-Mungu, wanaomboleza. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya Mwenyezi Mungu. Makuhani wanaomboleza, wale wanaohudumu mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Sadaka za nafaka na sadaka za kinywaji zimekatiliwa mbali kutoka nyumba ya bwana. Makuhani wanaomboleza, wale wanaohudumu mbele za bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Sadaka ya unga na sadaka ya kinywaji Zimekatiliwa mbali na nyumba ya BWANA; Hao makuhani, wahudumu wa BWANA, wanaomboleza. Tazama sura |