Yobu 7:7 - Swahili Revised Union Version7 Kumbuka ya kwamba maisha yangu ni upepo; Jicho langu halitaona mema tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 “Kumbuka, maisha yangu ni pumzi tu; jicho langu halitaona jema lolote tena. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 “Kumbuka, maisha yangu ni pumzi tu; jicho langu halitaona jema lolote tena. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 “Kumbuka, maisha yangu ni pumzi tu; jicho langu halitaona jema lolote tena. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Kumbuka, Ee Mungu, maisha yangu ni kama pumzi; macho yangu kamwe hayataona tena raha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kumbuka, Ee Mungu, maisha yangu ni kama pumzi; macho yangu kamwe hayataona tena raha. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Kumbuka ya kwamba maisha yangu ni upepo; Jicho langu halitaona mema tena. Tazama sura |