Yobu 7:13 - Swahili Revised Union Version13 Hapo nisemapo, kitanda changu kitanituliza moyo, Malazi yangu yatanipunguzia kuugua kwangu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Nikisema, ‘Kitanda kitanipumzisha, malazi yangu yatanipunguzia malalamiko yangu,’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Nikisema, ‘Kitanda kitanipumzisha, malazi yangu yatanipunguzia malalamiko yangu,’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Nikisema, ‘Kitanda kitanipumzisha, malazi yangu yatanipunguzia malalamiko yangu,’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ninapofikiri kwamba kitanda changu kitanifariji, nacho kiti changu cha fahari kitapunguza malalamiko yangu, Tazama sura |