Yobu 7:12 - Swahili Revised Union Version12 Je! Mimi ni bahari, au je! Ni nyangumi? Hata ukawaweka walinzi juu yangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Je, mimi ni bahari au dude la baharini hata uniwekee mlinzi? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Je, mimi ni bahari au dude la baharini hata uniwekee mlinzi? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Je, mimi ni bahari au dude la baharini hata uniwekee mlinzi? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Je, mimi ni bahari, au yule mnyama mkubwa wa baharini, hata uniweke chini ya ulinzi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Je, mimi ni bahari, au mnyama mkubwa mno akaaye vilindini, hata uniweke chini ya ulinzi? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI12 Je! Mimi ni bahari, au je! Ni nyangumi? Hata ukawaweka walinzi juu yangu? Tazama sura |