Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 6:5 - Swahili Revised Union Version

5 Je! Huyo punda mwitu hulia akiwa na majani? Au, ng'ombe hulia akiwa malishoni?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho?

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Je, pundamwitu hulia akiwa na majani, au ng'ombe akiwa na malisho?

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au fahali hulia akiwa na chakula?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Je, punda-mwitu hulia akiwa na majani, au ng’ombe dume hulia akiwa na chakula?

Tazama sura Nakili




Yobu 6:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Tena akamwambia, Kwetu kuna majani na malisho ya kutosha, na mahali pa kukaa wageni.


Ni nani aliyemwacha pundamilia aende huru? Au je! Ni nani aliyemfungulia vifungo punda mwitu?


Upana wa milima ni malisho yake, Hutafutatafuta kila kitu kilicho kibichi.


Je! Kitu kisicho na ladha chaweza kulika bila chumvi? Au je, uto wa yai una tamu iwayo yote?


Huyameesha majani kwa makundi, Na maboga kwa matumizi ya mwanadamu; Ili atoe chakula katika nchi,


Kama ayala aioneavyo shauku mito ya maji. Vivyo hivyo nafsi yangu inakuonea shauku, Ee Mungu.


Na punda mwitu husimama juu ya vilele vya milima, Hutwetea pumzi kama mbwamwitu; Macho yao hayaoni sawasawa, Kwa kuwa hapana majani.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo