Yobu 5:6 - Swahili Revised Union Version6 Kwani taabu haitoki mchangani, Wala mashaka hayachipuki katika nchi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Kwa kawaida mateso hayatoki mavumbini wala matatizo hayachipui udongoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Kwa kawaida mateso hayatoki mavumbini wala matatizo hayachipui udongoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Kwa kawaida mateso hayatoki mavumbini wala matatizo hayachipui udongoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa maana taabu haioti kutoka kwa udongo, wala ubaya hauchipui kutoka ardhini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa maana taabu haioti kutoka kwenye udongo, wala udhia hauchipui kutoka ardhini. Tazama sura |