Yobu 5:5 - Swahili Revised Union Version5 Mavuno yake wale wenye njaa huyala, Na kuyatwaa hata kuyatoa miibani, Nao wenye kiu huzitwetea mali zao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mazao yake huliwa na wenye njaa, hata nafaka iliyoota kati ya miiba; wenye tamaa huuonea shauku utajiri wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mazao yake huliwa na wenye njaa, hata nafaka iliyoota kati ya miiba; wenye tamaa huuonea shauku utajiri wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mazao yake huliwa na wenye njaa, hata nafaka iliyoota kati ya miiba; wenye tamaa huuonea shauku utajiri wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Wenye njaa huyala mavuno yake, wakiyatoa hata katikati ya miiba, nao wenye kiu huitamani sana mali yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Wenye njaa huyala mavuno yake, wakiyatoa hata katikati ya miiba, nao wenye kiu huitamani sana mali yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Mavuno yake wale wenye njaa huyala, Na kuyatwaa hata kuyatoa miibani, Nao wenye kiu huzitwetea mali zao. Tazama sura |
BWANA akamwuliza Shetani, Je! Umemwangalia huyo mtumishi wangu Ayubu? Kwa kuwa hakuna hata mmoja aliye kama yeye duniani, mtu mkamilifu na mwelekevu, mwenye kumcha Mungu na kuepukana na uovu; naye hata sasa anashikamana na utimilifu wake, ijapokuwa ulinichochea juu yake, ili nimwangamize pasipokuwa na sababu.