Yobu 3:6 - Swahili Revised Union Version6 Tena usiku huo, na ushikwe na giza kuu; Usihesabiwe katika siku za mwaka; Wala kutiwa katika hesabu ya miezi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Usiku huo giza nene liukumbe! Usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usitiwe katika idadi ya siku za mwezi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Usiku huo giza nene liukumbe! Usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usitiwe katika idadi ya siku za mwezi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Usiku huo giza nene liukumbe! Usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usitiwe katika idadi ya siku za mwezi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Usiku ule na ushikwe na giza nene; usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Usiku ule na ushikwe na giza kuu; usihesabiwe katika siku za mwaka, wala usihesabiwe katika siku za mwezi wowote. Tazama sura |