Yobu 3:16 - Swahili Revised Union Version16 Au, mbona kuzikwa kama mimba iliyoharibika, nisingekuwako; Kama wachanga wasiouona mwanga kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Au, mbona sikuwa kama mimba iliyoharibika, naam, kama mtoto aliyezaliwa mfu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Au, mbona sikuwa kama mimba iliyoharibika, naam, kama mtoto aliyezaliwa mfu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Au, mbona sikuwa kama mimba iliyoharibika, naam, kama mtoto aliyezaliwa mfu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Au kwa nini sikufichwa ardhini kama mtoto aliyezaliwa mfu, kama mtoto mchanga ambaye kamwe hakuuona mwanga? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Au, mbona kuzikwa kama mimba iliyoharibika, nisingekuwako; Kama wachanga wasiouona mwanga kabisa. Tazama sura |