Yobu 24:4 - Swahili Revised Union Version4 Humgeuza mhitaji aiache njia; Maskini wa nchi hujificha pamoja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Huwasukuma maskini kando ya barabara; maskini wa dunia hujificha mbele yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Huwasukuma maskini kando ya barabara; maskini wa dunia hujificha mbele yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Huwasukuma maskini kando ya barabara; maskini wa dunia hujificha mbele yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Humsukuma mhitaji kutoka njia, na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Humsukuma mhitaji kutoka njia, na kuwafanya maskini wote wa nchi kulazimika kujificha. Tazama sura |