Yobu 24:3 - Swahili Revised Union Version3 Huwanyang'anya yatima punda wao, Humtwaa rehani ng'ombe wake mwanamke mjane. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Huwanyanganya yatima punda wao, humweka rehani ng'ombe wa mjane. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Huwanyanganya yatima punda wao, humweka rehani ng'ombe wa mjane. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Huwanyang'anya yatima punda wao, humweka rehani ng'ombe wa mjane. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Huwanyang’anya yatima punda wao, na kumchukua rehani fahali wa mjane. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Huwanyang’anya yatima punda wao, na kumchukua rehani fahali wa mjane. Tazama sura |