Yobu 13:8 - Swahili Revised Union Version8 Je! Mtamwonesha yeye upendeleo? Mtamtetea Mungu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Je, mnajaribu kumpendelea Mungu? Je, mtamtetea Mungu mahakamani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Mtamwonesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Mtamwonyesha upendeleo? Mtamtetea Mungu kwenye mashtaka yake? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Je! Mtamwonesha yeye upendeleo? Mtamtetea Mungu? Tazama sura |