Yobu 13:10 - Swahili Revised Union Version10 Hakika atawakemea ninyi, Mkiwapendelea watu kwa siri. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Hakika yeye atawakemea kama mkionesha upendeleo kwa siri. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Hakika yeye atawakemea kama mkionesha upendeleo kwa siri. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Hakika yeye atawakemea kama mkionesha upendeleo kwa siri. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Hakika angewakemea mkiwapendelea watu kwa siri. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Hakika angewakemea kama mkiwapendelea watu kwa siri. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Hakika atawakemea ninyi, Mkiwapendelea watu kwa siri. Tazama sura |