Yobu 12:3 - Swahili Revised Union Version3 Lakini mimi pia, nina fahamu kama ninyi; Mimi si duni kuliko ninyi; Naam, ni nani asiyejua mambo kama hayo? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mimi nami ni mwelewa kama nyinyi. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Yote mliyosema kila mtu anajua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mimi nami ni mwelewa kama nyinyi. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Yote mliyosema kila mtu anajua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mimi nami ni mwelewa kama nyinyi. Mimi si mtu duni kuliko nyinyi. Yote mliyosema kila mtu anajua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; mimi si duni kwenu. Ni nani asiyejua mambo haya yote? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; mimi si duni kwenu. Ni nani asiyejua mambo haya yote? Tazama sura |