Yobu 11:9 - Swahili Revised Union Version9 Cheo chake ni kirefu kuliko dunia, Ni kipana zaidi ya bahari. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Ukuu huo wapita marefu ya dunia, wapita mapana ya bahari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Ukuu huo wapita marefu ya dunia, wapita mapana ya bahari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Ukuu huo wapita marefu ya dunia, wapita mapana ya bahari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, nacho ni kipana kuliko bahari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kipimo chake ni kirefu kuliko dunia, nacho ni kipana kuliko bahari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Cheo chake ni kirefu kuliko dunia, Ni kipana zaidi ya bahari. Tazama sura |