Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yobu 10:5 - Swahili Revised Union Version

5 Je! Siku zako ni kama siku za mtu, Au je! Miaka yako ni kama miaka ya mtu,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Je, siku zako ni kama za binadamu? Au miaka yako kama ya binadamu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Je, siku zako ni kama za binadamu? Au miaka yako kama ya binadamu,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Je, siku zako ni kama za binadamu? Au miaka yako kama ya binadamu,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Je, siku zako ni kama zile za mwanadamu, au miaka yako ni kama ile ya mtu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Je, siku zako ni kama zile za mwanadamu, au miaka yako ni kama ile ya mtu,

Tazama sura Nakili




Yobu 10:5
8 Marejeleo ya Msalaba  

Hata ukaulizauliza habari za uovu wangu, Na kuitafuta dhambi yangu,


Tazama, Mungu ni mkuu, nasi hatumjui; Hesabu ya miaka yake haichunguziki.


Bali Wewe, BWANA utaketi ukimiliki milele, Na jina lako litakumbukwa na vizazi vyote.


Wana wa watumishi wako watakaa, Na wazawa wao wataimarishwa mbele zako.


Na kama mavazi utazikunjakunja, na kama mavazi zitabadilishwa; Lakini wewe u yeye yule, Na miaka yako haitakoma.


Lakini, wapenzi, msilisahau neno hili, kwamba kwa Bwana siku moja ni kama miaka elfu, na miaka elfu ni kama siku moja.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo