Yeremia 4:3 - Swahili Revised Union Version3 Maana BWANA awaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu Ulimeni udongo katika konde zenu, wala msipande mbegu kati ya miiba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mwenyezi-Mungu awaambia hivi watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu: “Limeni mashamba yenu mapya; msipande mbegu zenu penye miiba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Hili ndilo asemalo Mwenyezi Mungu kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, wala msipande katikati ya miiba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Hili ndilo asemalo bwana kwa watu wa Yuda na kwa Yerusalemu: “Vunjeni mabonge kwenye mashamba yenu, wala msipande katikati ya miiba. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Maana BWANA awaambia hivi watu wa Yuda na Yerusalemu, Ulimeni udongo katika konde zenu, wala msipande mbegu kati ya miiba. Tazama sura |