Yeremia 12:5 - Swahili Revised Union Version5 Ikiwa umepiga mbio pamoja na hao waendao kwa miguu, nao wamekuchosha, basi wawezaje kushindana na farasi? Na ujapokuwa katika nchi ya amani uko salama, lakini utafanyaje hapo katika kiburi cha Yordani? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Mwenyezi-Mungu asema, “Ikiwa umeshindana na waendao kwa miguu ukachoka, utawezaje kushindana na farasi? Kama unaanguka katika nchi isiyo na vizuizi, utafanyaje katika msitu wa Yordani? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Mwenyezi-Mungu asema, “Ikiwa umeshindana na waendao kwa miguu ukachoka, utawezaje kushindana na farasi? Kama unaanguka katika nchi isiyo na vizuizi, utafanyaje katika msitu wa Yordani? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Mwenyezi-Mungu asema, “Ikiwa umeshindana na waendao kwa miguu ukachoka, utawezaje kushindana na farasi? Kama unaanguka katika nchi isiyo na vizuizi, utafanyaje katika msitu wa Yordani? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Ikiwa umeshindana mbio na watu kwa mguu na wakakushinda, unawezaje kushindana na farasi? Ikiwa unajikwaa kwenye nchi ambayo ni salama, utawezaje kwenye vichaka kando ya Yordani? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Ikiwa umeshindana mbio na watu kwa mguu na wakakushinda, unawezaje kushindana na farasi? Ikiwa unajikwaa kwenye nchi ambayo ni salama, utawezaje kwenye vichaka kando ya Yordani? Tazama sura |