Yeremia 11:2 - Swahili Revised Union Version2 Yasikieni maneno ya maagano haya; ukaseme na watu wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Sikiliza masharti ya agano hili, kisha nenda ukawatangazie watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Sikiliza masharti ya agano hili, kisha nenda ukawatangazie watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Sikiliza masharti ya agano hili, kisha nenda ukawatangazie watu wa Yuda na wakazi wa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Sikia maneno ya agano hili, nawe uwaambie watu wa Yuda na wale wanaoishi Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Sikia maneno ya agano hili, nawe uwaambie watu wa Yuda na wale waishio Yerusalemu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Yasikieni maneno ya maagano haya; ukaseme na watu wa Yuda, na wenyeji wa Yerusalemu; Tazama sura |