Yakobo 3:9 - Swahili Revised Union Version9 Kwa huo tunamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo unwawalaani wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kwa ulimi sisi twamshukuru Bwana na Baba yetu. Kwa ulimi huhuo twawalaani watu, watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kwa ulimi sisi twamshukuru Bwana na Baba yetu. Kwa ulimi huhuo twawalaani watu, watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kwa ulimi sisi twamshukuru Bwana na Baba yetu. Kwa ulimi huhuo twawalaani watu, watu ambao wameumbwa kwa mfano wa Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa ulimi tunamhimidi Mwenyezi Mungu na Baba yetu, na kwa huo twawalaani watu walioumbwa kwa mfano wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa ulimi tunamhimidi Bwana Mwenyezi, yaani Baba yetu, na kwa huo twawalaani watu walioumbwa kwa mfano wa Mwenyezi Mungu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Kwa huo tunamhimidi Mungu Baba yetu, na kwa huo tunawalaani wanadamu walioumbwa kwa mfano wa Mungu. Tazama sura |