Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Yakobo 3:7 - Swahili Revised Union Version

7 Maana kila aina ya wanyama, na ya ndege, na ya vitambaavyo, na ya vitu vilivyomo baharini, vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wanadamu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote – wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote – wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Binadamu anaweza kuwafuga wanyama, na amefaulu kufuga viumbe vyote — wanyama wa mwituni, ndege, nyoka na viumbe vya baharini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini hufugika na hufugwa na binadamu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini vinafugika na vimefugwa na binadamu,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

7 Maana kila aina ya wanyama, na ya ndege, na ya vitambaavyo, na ya vitu vilivyomo baharini, vinafugika, navyo vimekwisha kufugwa na wanadamu.

Tazama sura Nakili




Yakobo 3:7
4 Marejeleo ya Msalaba  

kwa sababu alikuwa amefungwa mara nyingi kwa pingu na minyororo, akaikata ile minyororo, na kuzivunjavunja zile pingu; wala hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda.


ambayo ndani yake walikuwamo aina zote za wanyama wenye miguu minne, na hao watambaao, na ndege wa angani.


Nao ulimi ni moto; ule ulimwengu wa uovu, ule ulimi, umewekwa katika viungo vyetu, nao ndio uutiao mwili wote unajisi, huuwasha moto mfululizo wa maumbile, nao huwashwa moto na Jehanamu.


Bali ulimi hakuna awezaye kuufuga; ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo