Yakobo 2:9 - Swahili Revised Union Version9 Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sheria kuwa wakosaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Lakini mkiwabagua watu, basi, mwatenda dhambi, nayo sheria inawahukumu nyinyi kuwa mna hatia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Lakini mkiwapendelea watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa wakosaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Lakini kama mnakuwa na upendeleo kwa watu, mnatenda dhambi, na sheria inawahukumu kuwa ninyi ni wakosaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI9 Bali mkiwapendelea watu, mwafanya dhambi na kuhukumiwa na sheria kuwa wakosaji. Tazama sura |