Yakobo 1:22 - Swahili Revised Union Version22 Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, bali litekelezeni kwa vitendo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, bali litekelezeni kwa vitendo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Msijidanganye wenyewe kwa kusikiliza tu neno lake, bali litekelezeni kwa vitendo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Basi kuweni watendaji wa Neno, wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Basi kuweni watendaji wa Neno wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Lakini iweni watendaji wa neno, wala si wasikiaji tu, hali mkijidanganya nafsi zenu. Tazama sura |