Yakobo 1:15 - Swahili Revised Union Version15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Tamaa ikiiva huzaa dhambi; nayo dhambi ikikomaa huzaa kifo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa huzaa mauti. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Basi ile tamaa mbaya ikishachukua mimba, huzaa dhambi, nayo ile dhambi ikikomaa, huzaa mauti. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti. Tazama sura |