Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 8:5 - Swahili Revised Union Version

5 Musa akawaambia mkutano, Neno aliloliagiza BWANA kwamba lifanywe, ni hili.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Mose akaiambia jumuiya yote hivi: “Lifuatalo ni jambo ambalo Mwenyezi-Mungu ameamuru lifanywe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Mose akaiambia jumuiya yote hivi: “Lifuatalo ni jambo ambalo Mwenyezi-Mungu ameamuru lifanywe.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Mose akaiambia jumuiya yote hivi: “Lifuatalo ni jambo ambalo Mwenyezi-Mungu ameamuru lifanywe.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Musa akawaambia kusanyiko, “Hili ndilo Mwenyezi Mungu ameagiza lifanyike.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Musa akaliambia kusanyiko, “Hili ndilo bwana ameagiza lifanyike.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

5 Musa akawaambia mkutano, Neno aliloliagiza BWANA kwamba lifanywe, ni hili.

Tazama sura Nakili

Walawi 8:5
3 Marejeleo ya Msalaba  

Basi Musa akafanya kama alivyoambiwa na BWANA; na huo mkutano ulikutanishwa mlangoni pa hema ya kukutania.

Basi Musa akawaleta Haruni na wanawe, akawaosha kwa maji.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo