Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 8:34 - Swahili Revised Union Version

34 Vile vile kama ilivyotendeka siku ya leo, ndivyo BWANA alivyoagiza, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Mwenyezi-Mungu ameamuru tufanye kama tulivyofanya leo ili tuwafanyieni ibada ya upatanisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Mwenyezi-Mungu ameamuru tufanye kama tulivyofanya leo ili tuwafanyieni ibada ya upatanisho.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Mwenyezi-Mungu ameamuru tufanye kama tulivyofanya leo ili tuwafanyieni ibada ya upatanisho.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Lile lililofanyika leo liliagizwa na Mwenyezi Mungu ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Lile lililofanyika leo liliagizwa na bwana ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

34 Vile vile kama ilivyotendeka siku ya leo, ndivyo BWANA alivyoagiza, ili kufanya upatanisho kwa ajili yenu.

Tazama sura Nakili

Walawi 8:34
5 Marejeleo ya Msalaba  

Wala msitoke nje mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba, hadi siku za kuwekwa wakfu kwenu zitakapotimia; kwa kuwa atawaweka muda wa siku saba.

Nanyi mtakaa mlangoni pa hema ya kukutania muda wa siku saba mchana na usiku, na kuulinda ulinzi wa BWANA ili kwamba msife; kwani ndivyo nilivyoagizwa.

asiyekuwa kuhani kwa sheria ya amri iliyo ya jinsi ya mwili, bali kwa nguvu za uzima usio na kikomo;

ambaye hana haja kila siku, mfano wa wale makuhani wakuu wengine, kwanza kutoa dhabihu kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe, kisha kwa ajili ya dhambi za hao watu; maana yeye alifanya hivi mara moja, alipojitoa nafsi yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo