Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 7:25 - Swahili Revised Union Version

25 Kwani huyo mtu atakayekula mafuta ya mnyama, ambaye ni katika wanyama ambao watu husongeza sadaka kwa BWANA kwa moto, mtu huyo atakayekula mafuta hayo atakatiliwa mbali na watu wake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Mtu yeyote akila mafuta ya mnyama aliyetolewa kwa Mwenyezi-Mungu kwa moto, atatengwa na watu wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Mtu yeyote akila mafuta ya mnyama aliyetolewa kwa Mwenyezi-Mungu kwa moto, atatengwa na watu wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Mtu yeyote akila mafuta ya mnyama aliyetolewa kwa Mwenyezi-Mungu kwa moto, atatengwa na watu wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa Mwenyezi Mungu kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Mtu yeyote alaye mafuta ya mnyama ambaye ametolewa sadaka kwa bwana kwa moto ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

25 Kwani huyo mtu atakayekula mafuta ya mnyama, ambaye ni katika wanyama ambao watu husongeza sadaka kwa BWANA kwa moto, mtu huyo atakayekula mafuta hayo atakatiliwa mbali na watu wake.

Tazama sura Nakili




Walawi 7:25
8 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwanamume mwenye govi asiyetahiriwa nyama ya govi lake, mtu yule atatengwa na watu wake; amelivunja agano langu.


Kisha uvitwae vile vitu mikononi mwao, na kuviteketeza juu ya madhabahu, juu ya ile sadaka ya kuteketezwa, viwe harufu nzuri mbele ya BWANA; ni sadaka iliyosongezwa kwa BWANA kwa njia ya moto.


Neno hili litakuwa amri ya daima, katika vizazi vyenu vyote, ndani ya nyumba zenu zote, ya kwamba hamtakula mafuta wala damu kabisa.


lakini mtu huyo atakayekula katika nyama ya sadaka za amani, ambazo ni za BWANA, na unajisi wake akiwa nao juu yake, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake.


Kisha mtu awaye yote atakapogusa kitu chochote kilicho najisi, uchafu wa binadamu, au mnyama aliye najisi, au machukizo yoyote yaliyo najisi, kisha akala nyama ya dhabihu ya sadaka za amani, ambazo ni za BWANA, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake.


Tena mafuta ya mnyama afaye mwenyewe, na mafuta ya mnyama aliyeraruliwa na wanyama, mna ruhusa kuyatumia kwa matumizi mengine; lakini msiyale kamwe.


Tena msiile damu yoyote, ama ya ndege, ama ya mnyama, katika nyumba zenu zote.


Mtu yeyote alaye damu, mtu huyo atatupiliwa mbali na watu wake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo