Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Walawi 7:10 - Swahili Revised Union Version

10 Na kila sadaka ya unga, kama umeandaliwa na mafuta, au kama ni mkavu, watautwaa wana wote wa Haruni kuutumia, kila mtu sawasawa.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wazawa wa Aroni, na wote wagawiwe kwa sawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wazawa wa Aroni, na wote wagawiwe kwa sawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au kavu, itakuwa ya wazawa wa Aroni, na wote wagawiwe kwa sawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Nayo kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au iko kavu, itakuwa ya wana wa Haruni, nayo itagawanywa sawa kati yao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Nayo kila sadaka ya nafaka, iwe imechanganywa na mafuta au iko kavu, itakuwa ya wana wa Haruni, nayo itagawanywa sawa kati yao.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

10 Na kila sadaka ya unga, kama umeandaliwa na mafuta, au kama ni mkavu, watautwaa wana wote wa Haruni kuutumia, kila mtu sawasawa.

Tazama sura Nakili

Walawi 7:10
4 Marejeleo ya Msalaba  

Nao walipoipima kwa pishi, yeye aliyekuwa ameokota kingi hakubakiwa na kitu, na yeye aliyekuwa ameokota kichache hakupungukiwa; wakaokota kila mtu kama ulaji wake ulivyokuwa.

Na sheria ya matoleo ya sadaka za amani, atakazosongeza mtu kwa BWANA, ni hii.

Na kila sadaka ya unga iliyookwa mekoni, na yote yaliyoandaliwa chunguni, au kaangoni, yote yatakuwa ya huyo kuhani aliyeyasongeza.

bali mambo yawe sawasawa; wakati huu wa sasa wingi wenu uwafae upungufu wao, ili na wingi wao uwafae ninyi mtakapopungukiwa; ili mambo yawe sawasawa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo