Walawi 3:7 - Swahili Revised Union Version7 Ikiwa mtu atamtoa mwana-kondoo kama matoleo yake, ndipo atakapomleta mbele za BWANA; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kama mtu atatoa mwanakondoo kuwa sadaka yake, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kama mtu atatoa mwanakondoo kuwa sadaka yake, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kama mtu atatoa mwanakondoo kuwa sadaka yake, basi, atamtolea mbele ya Mwenyezi-Mungu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Akimtoa mwana-kondoo, atamleta mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Kama akimtoa mwana-kondoo, atamleta mbele za bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Ikiwa mtu atamtoa mwana-kondoo kama matoleo yake, ndipo atakapomleta mbele za BWANA; Tazama sura |