Walawi 3:6 - Swahili Revised Union Version6 Na matoleo yake kwa sadaka za amani atakayomchinjia BWANA, kwamba ni katika kundi la kondoo; dume au jike, atamtoa huyo aliye mkamilifu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 “Kama sadaka hiyo ya kufanya amani unayomtolea Mwenyezi-Mungu ni kutoka kundi la kondoo au mbuzi, basi achaguliwe dume au jike asiye na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 “Kama sadaka hiyo ya kufanya amani unayomtolea Mwenyezi-Mungu ni kutoka kundi la kondoo au mbuzi, basi achaguliwe dume au jike asiye na dosari. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 “Kama sadaka hiyo ya kufanya amani unayomtolea Mwenyezi-Mungu ni kutoka kundi la kondoo au mbuzi, basi achaguliwe dume au jike asiye na dosari. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “ ‘Akitoa kondoo au mbuzi kutoka kundi kuwa sadaka ya amani kwa Mwenyezi Mungu, atamtoa dume au jike asiye na dosari. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “ ‘Kama akitoa kondoo au mbuzi kutoka kundi kama sadaka ya amani kwa bwana, atamtoa dume au jike asiye na dosari. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Na matoleo yake kwa sadaka za amani atakayomchinjia BWANA, kwamba ni katika kundi la kondoo; dume au jike, atamtoa huyo aliye mkamilifu. Tazama sura |