Walawi 3:10 - Swahili Revised Union Version10 na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 zile figo mbili na mafuta yake pamoja na sehemu bora ya ini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 figo mbili pamoja na mafuta yanayozifunika yaliyo karibu na kiuno, na kipande kirefu cha ini, ambayo utayaondoa pamoja na figo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 figo mbili pamoja na mafuta yanayozizunguka yaliyo karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo atayatoa pamoja na figo. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 na figo zake mbili, na mafuta yaliyoshikamana nazo, yaliyo karibu na kiuno chake, na kitambi kilicho katika ini, pamoja na hizo figo; hayo yote atayaondoa. Tazama sura |