Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Walawi 25:4 - Swahili Revised Union Version

4 lakini katika mwaka wa saba itakuwa ni Sabato ya kustarehe kabisa kwa ajili ya hiyo nchi, ni Sabato kwa BWANA; usipande shamba lako, wala usipelee shamba lako la mizabibu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Lakini mwaka wa saba utakuwa ni sabato ya mapumziko rasmi; ni sabato ya Mwenyezi-Mungu. Msipande chochote wala kuipogoa mizabibu yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Lakini mwaka wa saba utakuwa ni sabato ya mapumziko rasmi; ni sabato ya Mwenyezi-Mungu. Msipande chochote wala kuipogoa mizabibu yenu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Lakini mwaka wa saba utakuwa ni sabato ya mapumziko rasmi; ni sabato ya Mwenyezi-Mungu. Msipande chochote wala kuipogoa mizabibu yenu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Lakini katika mwaka wa saba, nchi lazima iwe na sabato ya mapumziko, sabato kwa Mwenyezi Mungu. Msipande mbegu katika mashamba yenu, wala msikate mizabibu yenu matawi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Lakini mwaka wa saba nchi lazima iwe na Sabato ya mapumziko, Sabato kwa bwana. Msipande mbegu katika mashamba yenu, wala msikate mizabibu yenu matawi.

Tazama sura Nakili




Walawi 25:4
6 Marejeleo ya Msalaba  

ili kulitimiza neno la BWANA kwa kinywa cha Yeremia, hata nchi itakapofurahia sabato zake; kwa maana siku zote ilipokaa ukiwa ilishika sabato, kutimiza miaka sabini.


Hicho kimeacho chenyewe katika mavuno yako, usikivune, wala zabibu za mizabibu isiyopelewa usizitunde; utakuwa mwaka wa kustarehe kabisa kwa ajili ya hiyo nchi.


Nchi nayo itaachwa na wao, nayo itazifurahia Sabato zake, itakapokuwa ukiwa pasipokuwa na wao; nao wataikubali adhabu ya uovu wao; kwa sababu wameyakataa maagizo yangu, na roho zao zimezichukia amri zangu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo