Walawi 24:6 - Swahili Revised Union Version6 Nawe iweke mistari miwili, mikate sita kwa kila mstari, juu ya hiyo meza safi, mbele za BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Mikate hiyo itapangwa safu mbili juu ya meza ya dhahabu safi, kila safu mikate sita. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Mikate hiyo itapangwa safu mbili juu ya meza ya dhahabu safi, kila safu mikate sita. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Mikate hiyo itapangwa safu mbili juu ya meza ya dhahabu safi, kila safu mikate sita. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Iweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za Mwenyezi Mungu juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Iweke katika mistari miwili, kila mstari mikate sita, uiweke mbele za bwana juu ya meza iliyotengenezwa kwa dhahabu safi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Nawe iweke mistari miwili, mikate sita kwa kila mstari, juu ya hiyo meza safi, mbele za BWANA. Tazama sura |
nao humtolea BWANA kila asubuhi, na kila jioni, sadaka za kuteketezwa na fukizo la manukato; mikate ya wonyesho pia huiweka kwa taratibu yake juu ya meza takatifu, na kinara cha dhahabu chenye taa zake, kuwaka kila jioni; kwa maana sisi tunayatunza maagizo ya BWANA, Mungu wetu; bali ninyi mmemwacha.