Walawi 22:30 - Swahili Revised Union Version30 Italiwa siku iyo hiyo; msisaze kitu chake hata asubuhi; mimi ndimi BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Mnyama huyo ni lazima aliwe siku hiyohiyo; msimbakize mpaka kesho yake asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Ni lazima iliwe siku hiyo hiyo, pasipo kubakiza chochote hadi asubuhi. Mimi ndimi Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 Ni lazima iliwe siku iyo hiyo, pasipo kubakiza chochote mpaka asubuhi. Mimi ndimi bwana. Tazama sura |